Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 1:1 - Swahili Revised Union Version

1 Maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yafuatayo ni maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yafuatayo ni maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yafuatayo ni maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu

Tazama sura Nakili




Mhubiri 1:1
13 Marejeleo ya Msalaba  

Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arubaini.


Nawe umewaweka manabii ili wakuhubirie huko Yerusalemu kwa kusema, Yuko mfalme katika Yuda; basi sasa mfalme ataarifiwa mambo haya, Basi sasa, njoo ili tushauriane.


Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa. Sikuizuia midomo yangu; Ee BWANA, unajua.


Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.


Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.


Mimi, Mhubiri, nilikuwa Mfalme wa Israeli katika Yerusalemu.


Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili, ili kuitafuta jumla;


Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu BWANA amenitia mafuta niwahubirie wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwatibu waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.


Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru.


wala hakuuachilia ulimwengu wa kale, bali alimhifadhi Nuhu, mjumbe wa haki, na watu wengine saba, hapo alipoleta Gharika juu ya ulimwengu wa wasiomcha Mungu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo