Methali 8:32 - Swahili Revised Union Version32 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 “Sasa basi wanangu, nisikilizeni: Heri wale wanaofuata njia zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 “Sasa basi wanangu, nisikilizeni: Heri wale wanaofuata njia zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 “Sasa basi wanangu, nisikilizeni: heri wale wanaofuata njia zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 “Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 “Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu. Tazama sura |