Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 8:22 - Swahili Revised Union Version

22 BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 “Mwenyezi-Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, zama za zama kabla ya kuwako kitu chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “Mwenyezi Mungu aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.

Tazama sura Nakili

Methali 8:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu ndiye aijuaye njia yake, Naye anajua mahali pake.

Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.

Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;

Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye asili yake imekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.

Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo