Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 5:15 - Swahili Revised Union Version

15 Unywe maji ya tangi lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kunywa maji kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kisima chako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Unywe maji ya tangi lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.

Tazama sura Nakili




Methali 5:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nilikuwa karibu na kuingia katika maovu yote, Katikati ya mkutano na kusanyiko.


Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?


Bustani iliyofungwa ni dada yangu, bibi arusi, Kijito kilichofungwa, chemchemi iliyotiwa mhuri.


Msimsikilize Hezekia; maana mfalme wa Ashuru asema hivi, Fanyeni suluhu na mimi, mkatoke mnijie, mkale kila mtu matunda ya mzabibu wake na matunda ya mtini wake, mkanywe kila mmoja maji ya kisima chake mwenyewe;


Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo