Methali 31:12 - Swahili Revised Union Version12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Tazama sura |