Methali 30:28 - Swahili Revised Union Version28 Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 mjusi: waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya wafalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. Tazama sura |