Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 30:16 - Swahili Revised Union Version

16 Kuzimu; na tumbo lisilozaa; Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi!

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kuzimu, tumbo la mwanamke lisilozaa, ardhi isiyoshiba maji, na moto usiosema, “Imetosha!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kuzimu, tumbo la mwanamke lisilozaa, ardhi isiyoshiba maji, na moto usiosema, “Imetosha!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kuzimu, tumbo la mwanamke lisilozaa, ardhi isiyoshiba maji, na moto usiosema, “Imetosha!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ni kaburi, tumbo lisilozaa, nchi isiyoshiba maji kamwe, na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ni kaburi, tumbo lisilozaa, nchi isiyoshiba maji kamwe, na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Kuzimu; na tumbo lisilozaa; Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi!

Tazama sura Nakili

Methali 30:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Raheli alipoona ya kuwa hamzalii Yakobo mwana, Raheli alimwonea dada yake wivu. Akamwambia Yakobo, Nipe wana; kama sivyo, nitakufa mimi.

Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi.

Mruba anao binti wawili, Waliao, Nipe! Nipe! Kuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe, Naam, vinne visivyosema, Basi!

Kwa hiyo kuzimu kumeongeza tamaa yake, kumefunua kinywa chake bila kiasi; na utukufu wao, na wingi wao, na ghasia yao, naye pia afurahiye miongoni mwao, hushuka na kuingia humo.

Naam, pamoja na hayo, divai ni mchumi mdanganyifu, mtu wa kiburi asiyekaa nyumbani mwake; huongeza tamaa yake kama kuzimu, naye huwa kama mauti, hawezi kushibishwa; bali hujikusanyia mataifa yote; hujiwekea kabila zote chungu chungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo