Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 28:28 - Swahili Revised Union Version

28 Wasio haki wainukapo, wanadamu hujificha; Bali waangamiapo, wenye haki huongezeka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Wakati waovu wanatawala, watu huenda mafichoni, bali waovu wanapoangamia, wenye haki hufanikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Wakati waovu watawalapo, watu huenda mafichoni, bali waovu wanapoangamia, wenye haki hufanikiwa.

Tazama sura Nakili




Methali 28:28
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawako pamoja nao, amefichwa nyumbani mwa Mungu, miaka sita. Na Athalia akaitawala nchi.


Na katika kila mkoa, na kila mji, popote palipowasili amri ya mfalme na mbiu yake, Wayahudi wakapata furaha na shangwe, karamu na sikukuu. Hata wengi wa watu wa nchi wakajifanya Wayahudi, maana waliwaogopa Wayahudi.


Humgeuza mhitaji aiache njia; Maskini wa nchi hujificha pamoja.


Wenye haki washindapo, uko utukufu mwingi; Bali waovu waondokapo, watu hujificha.


Mwenye kuwagawia maskini hatahitaji kitu; Bali afichaye macho yake atakuwa na laana nyingi.


Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafla, wala hapati dawa.


Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo