Methali 26:4 - Swahili Revised Union Version4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Tazama sura |