Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 25:9 - Swahili Revised Union Version

9 Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali usiifunue siri ya mtu mwingine;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Suluhisha ugomvi na mwenzako peke yake, na kila mmoja wenu asitoe siri ya mwenzake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali usiifunue siri ya mtu mwingine;

Tazama sura Nakili

Methali 25:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mwenye udaku hupitapita akifunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo.

Mwenye udaku hufunua siri; Basi, usishirikiane naye afunuaye midomo yake sana.

Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo