Methali 23:34 - Swahili Revised Union Version34 Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari, kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari, kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari, kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Utakuwa kama alalaye baharini, alalaye juu ya kamba ya merikebu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Utakuwa kama alalaye katikati ya bahari, alalaye juu ya kamba ya merikebu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti. Tazama sura |