Methali 21:8 - Swahili Revised Union Version8 Njia yake aliyelemewa na dhambi imepotoka sana; Bali mtu aliye safi, kazi yake ni sawasawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Njia ya mtu mwenye hatia imepotoka, lakini mwenendo wa mnyofu umenyooka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Njia ya mtu mwenye hatia imepotoka, lakini mwenendo wa mnyofu umenyooka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Njia ya mtu mwenye hatia imepotoka, lakini mwenendo wa mnyofu umenyooka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Njia yake aliyelemewa na dhambi imepotoka sana; Bali mtu aliye safi, kazi yake ni sawasawa. Tazama sura |