Methali 2:6 - Swahili Revised Union Version6 Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa maana Mwenyezi Mungu hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa maana bwana hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu; Tazama sura |