Methali 2:21 - Swahili Revised Union Version21 Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Tazama sura |