Methali 19:7 - Swahili Revised Union Version7 Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, rafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka. Tazama sura |