Methali 16:26 - Swahili Revised Union Version26 Nafsi yake mfanyakazi hujifanyia kazi; Maana kinywa chake humtia bidii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Nafsi yake mfanyakazi hujifanyia kazi; Maana kinywa chake humtia bidii. Tazama sura |