Methali 14:2 - Swahili Revised Union Version2 Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha Mwenyezi Mungu, bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha bwana, bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau. Tazama sura |