Mathayo 9:15 - Swahili Revised Union Version15 Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi; ndipo watakapofunga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Isa akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wanawezaje kuomboleza wakati angali pamoja nao? Wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Isa akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wawezaje kuomboleza wakati angali pamoja nao? Wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Yesu akawaambia, Walioalikwa harusini wawezaje kuomboleza, muda bwana harusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana harusi; ndipo watakapofunga. Tazama sura |