Mathayo 6:33 - Swahili Revised Union Version33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Bali, shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu na matakwa yake, na hayo yote mtapewa kwa ziada. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Bali, shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu na matakwa yake, na hayo yote mtapewa kwa ziada. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Bali, shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu na matakwa yake, na hayo yote mtapewa kwa ziada. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Lakini utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mwenyezi Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Tazama sura |