Mathayo 6:19 - Swahili Revised Union Version19 Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja na kuiba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Msijiwekee hazina duniani, ambapo nondo na kutu huharibu, nao wezi huvunja na kuiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja na kuiba; Tazama sura |