Mathayo 6:15 - Swahili Revised Union Version15 Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini msipowasamehe watu wengine makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini msipowasamehe watu wengine makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. Tazama sura |