Mathayo 4:5 - Swahili Revised Union Version5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ndipo ibilisi akampeleka Isa hadi mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ndipo ibilisi akamchukua Isa mpaka mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, Tazama sura |