Mathayo 3:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi zaeni matunda yapasayo toba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi zaeni matunda yapasayo toba; Tazama sura |