Mathayo 3:5 - Swahili Revised Union Version5 Ndipo walipomwendea wa Yerusalemu, na wa Yudea wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo walipomwendea wa Yerusalemu, na wa Yudea wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani; Tazama sura |