Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 23:30 - Swahili Revised Union Version

30 na kusema, Kama sisi tungalikuwako zamani za baba zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Nanyi mwasema, ‘Kama tungeishi wakati wa baba zetu, hatungeshiriki katika kumwaga damu ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Nanyi mwasema, ‘Kama tungaliishi wakati wa baba zetu, tusingalikuwa tumeshiriki katika kumwaga damu ya manabii!’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 na kusema, Kama sisi tungalikuwako zamani za baba zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:30
8 Marejeleo ya Msalaba  

Naye BWANA, Mungu wa baba zao, akatuma kwao kwa mikono ya wajumbe wake, akiondoka mapema, na kutuma; kwa sababu aliwahurumia watu wake, na makao yake;

Nimewapiga watoto wako bure; hawakukubali kurudiwa; upanga wenu wenyewe umewala manabii wako, kama simba aharibuye.

Ole wenu, Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki,

Hivi mwajishuhudia wenyewe, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowaua manabii.

Waangalieni hao Waisraeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! Hawana shirika na madhabahu?

Na tumaini letu kwa ajili yenu ni imara, tukijua ya kuwa kama vile mlivyo washiriki wa yale mateso, vivyo hivyo mmekuwa washiriki wa zile faraja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo