Mathayo 21:40 - Swahili Revised Union Version40 Basi atakapokuja yule bwana wa shamba la mizabibu, atawatendaje wale wakulima? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 “Basi huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 “Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Basi atakapokuja yule bwana wa shamba la mizabibu, atawatendaje wale wakulima? Tazama sura |