Mathayo 21:27 - Swahili Revised Union Version27 Wakamjibu Yesu wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa mamlaka gani ninatenda haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Basi, wakamjibu, “Hatujui!” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Basi, wakamjibu, “Hatujui!” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Basi, wakamjibu, “Hatujui!” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hivyo basi wakamjibu Isa, “Sisi hatujui.” Naye akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kwa hiyo wakamjibu Isa, “Sisi hatujui.” Naye akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Wakamjibu Yesu wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa mamlaka gani ninatenda haya. Tazama sura |