Mathayo 19:18 - Swahili Revised Union Version18 Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Ni hizi, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Isa akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Isa akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Ni hizi, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Tazama sura |