Mathayo 16:22 - Swahili Revised Union Version22 Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, La hasha! Bwana, hayo hayatakupata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea, akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, La hasha! Bwana, hayo hayatakupata. Tazama sura |