Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 13:56 - Swahili Revised Union Version

56 Na dada zake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

56 Na dada zake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:56
2 Marejeleo ya Msalaba  

Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe.

Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na dada zake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo