Mathayo 13:53 - Swahili Revised Union Version53 Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI53 Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. Tazama sura |