Mathayo 13:47 - Swahili Revised Union Version47 Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 “Tena, ufalme wa mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI47 Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna; Tazama sura |