Mathayo 13:43 - Swahili Revised Union Version43 Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Kisha, wale wema watangara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Kisha, wale wema watangara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Kisha, wale wema watang'ara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Ndipo wenye haki watang’aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Ndipo wenye haki watang’aa kama jua katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu, Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie. Tazama sura |