Mathayo 13:34 - Swahili Revised Union Version34 Hayo yote Yesu aliwaambia makutano kwa mifano; wala pasipo mfano hakuwaambia neno; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa alinena mambo haya yote kwa umati wa watu kwa mifano, wala hakuwaambia lolote pasipo mfano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Hayo yote Yesu aliwaambia makutano kwa mifano; wala pasipo mfano hakuwaambia neno; Tazama sura |