Mathayo 12:47 - Swahili Revised Union Version47 Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Basi, mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kusema nawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Basi, mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kusema nawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Basi, mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kusema nawe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Ndipo mtu mmoja akamwambia, “Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuongea na wewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Ndipo mtu mmoja akamwambia, “Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuongea na wewe.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI47 Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe. Tazama sura |