Mathayo 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani tu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani peke yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya wonesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao? Tazama sura |