Mathayo 12:30 - Swahili Revised Union Version30 Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 “Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya. Tazama sura |