Mathayo 11:28 - Swahili Revised Union Version28 Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Tazama sura |