Mathayo 11:24 - Swahili Revised Union Version24 Lakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Lakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe. Tazama sura |