Mathayo 11:17 - Swahili Revised Union Version17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 ‘Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkuomboleza!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkuomboleza.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkuomboleza.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia. Tazama sura |