Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 1:24 - Swahili Revised Union Version

24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Yusufu alipoamka kutoka usingizini, akafanya jinsi alivyoagizwa na malaika wa Mwenyezi Mungu, akamchukua Mariamu kuwa mke wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Yusufu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Mwenyezi Mungu, akamchukua Mariamu kuwa mke wake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:24
18 Marejeleo ya Msalaba  

Ndivyo alivyofanya Nuhu, sawasawa na vyote alivyomwamuru Mungu, hivyo ndivyo alivyofanya.


Nuhu akafanya kama vile BWANA alivyomwamuru.


Musa akafanya hayo yote; kama BWANA aliyoagiza ndivyo alivyofanya yote.


Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa.


hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.


asimjue kamwe hadi alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.


Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.


Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.


lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo