Matendo 7:29 - Swahili Revised Union Version29 Musa akakimbia kwa neno hilo, akakaa kama mgeni katika nchi ya Midiani, akazaa wana wawili huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Baada ya kusikia hayo, Mose alikimbia, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani na huko akapata watoto wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Baada ya kusikia hayo, Mose alikimbia, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani na huko akapata watoto wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Baada ya kusikia hayo, Mose alikimbia, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani na huko akapata watoto wawili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Musa aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Musa aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Musa akakimbia kwa neno hilo, akakaa kama mgeni katika nchi ya Midiani, akazaa wana wawili huko. Tazama sura |