Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Matendo 7:14 - Swahili Revised Union Version

14 Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote; kwa jumla walikuwa watu sabini na watano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.

Tazama sura Nakili




Matendo 7:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nanyi mtamwarifu baba yangu habari za fahari yangu yote katika Misri, na za vyote mlivyoviona; mkafanye haraka kumleta huku baba yangu.


Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.


Israeli naye akaingia Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu.


Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.


Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.


Baba zako walienda Misri wakiwa watu sabini; na sasa BWANA, Mungu wako, amekufanya kama nyota za mbinguni kwa wingi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo