Matendo 5:6 - Swahili Revised Union Version6 Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakampeleka nje kumzika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika. Tazama sura |