Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 5:23 - Swahili Revised Union Version

23 wakisema, Gereza tumeikuta imefungwa salama, nao walinzi wamesimama mbele ya mlango; lakini tulipoufungua hatukukuta mtu ndani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakasema, “Tumekuta milango ya gereza imefungwa sawasawa na askari wa gereza wamesimama nje ya mlango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu yeyote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakasema, “Tumekuta milango ya gereza imefungwa sawasawa na askari wa gereza wamesimama nje ya mlango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu yeyote ndani.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 wakisema, Gereza tumeikuta imefungwa salama, nao walinzi wamesimama mbele ya mlango; lakini tulipoufungua hatukukuta mtu ndani.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:23
13 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka.

BWANA huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huitangua mipango ya watu.

Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.

Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?

Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,

Wakati watumishi walipofika hawakuwaona gerezani, wakarudi wakatoa habari,

Basi mlinzi mkuu wa hekalu na wakuu wa makuhani waliposikia haya, wakaingiwa na shaka kwa ajili yao, litakuwaje jambo hilo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo