Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 28:13 - Swahili Revised Union Version

13 Kutoka huko tukazunguka tukafikia Regio; baada ya siku moja upepo wa kusi ukavuma, na siku ya pili tukawasili Puteoli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Toka huko tulingoa nanga, tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya Potioli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Toka huko tulingoa nanga, tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya Potioli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Toka huko tuling'oa nanga, tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya Potioli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kisha tukang’oa nanga, tukafika Regio. Siku iliyofuata, upepo mkali wa kusi ukavuma, na siku ya pili yake tukafika Puteoli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kisha tukang’oa nanga, tukafika Regio. Siku iliyofuata, upepo mkali wa kusi ukavuma, na siku ya pili yake tukafika Puteoli.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Kutoka huko tukazunguka tukafikia Regio; baada ya siku moja upepo wa kusi ukavuma, na siku ya pili tukawasili Puteoli.

Tazama sura Nakili

Matendo 28:13
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na upepo wa kusi ulipoanza kuvuma kidogo, wakidhani ya kuwa wamepata waliyoazimu kupata, wakang'oa nanga, wakasafiri karibu na Krete kandokando ya pwani.

Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu.

Huko tukakuta ndugu, wakatusihi tukae nao siku saba; na hivi ndivyo tulifika Rumi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo