Matendo 28:1 - Swahili Revised Union Version1 Tulipokwisha kuokoka, ndipo tulipojua ya kuwa kisiwa kile chaitwa Melita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya kufika nchi kavu salama, ndipo tukafahamu kwamba jina la kile kisiwa ni Malta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya kufika nchi kavu salama, ndipo tukafahamu kwamba jina la kile kisiwa ni Malta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Tulipokwisha kuokoka, ndipo tulipojua ya kuwa kisiwa kile chaitwa Melita. Tazama sura |