Matendo 27:8 - Swahili Revised Union Version8 Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea. Tazama sura |