Matendo 26:8 - Swahili Revised Union Version8 Kwa nini limedhaniwa kwenu kuwa ni neno lisiloaminika, kwamba Mungu awafufua wafu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa nini nyinyi mnaona shida sana kuamini kwamba Mungu huwafufua wafu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa nini nyinyi mnaona shida sana kuamini kwamba Mungu huwafufua wafu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa nini nyinyi mnaona shida sana kuamini kwamba Mungu huwafufua wafu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa nini yeyote miongoni mwenu afikiri kwamba ni jambo lisilosadikika Mungu kufufua wafu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa nini yeyote miongoni mwenu afikiri kwamba ni jambo lisilosadikika Mungu kufufua wafu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kwa nini limedhaniwa kwenu kuwa ni neno lisiloaminika, kwamba Mungu awafufua wafu? Tazama sura |