Matendo 26:30 - Swahili Revised Union Version30 Mfalme na mtawala na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Mfalme na mtawala na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama; Tazama sura |